Mufti ahimiza amani kuelekea Uchaguzi mkuu

Sheikh mkuu na Mufti wa Tanzania Abubakari Zubeir

Sheikh mkuu na Mufti wa Tanzania Abubakari Zubeir amewataka watanzania kuhakikisha wanailinda amani ya nchi wakati huu ambapo taifa linaelekea kufanya uchaguzi mkuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS