Mvua yaezua mapaa ya wafanyabiashara sokoni

Wafanyabiashara katika Soko la Veternary wakiezeka upya mapaa ya mabanda yao baada yakuezuliwa na upepo.

Wafanyabiashara zaidi ya 20 katika soko la Veternary wameeleza namna walivyopata hasara baada ya mapaa ya mabanda yao kuezuliwa  na upepo uliotokana na  mvua iliyonyesha hapo jana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS