Kimei kurithi mikoba ya Mbatia wa NCCR-Mageuzi
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Vunjo Michael Mwandezi, amemtangaza aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei, kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 40,170.