Farid Mussa amnyooshea mikono Nchimbi

Kutoka kushoto ni Farid Mussa, Ditram Nchimbi na Michael Sarpong

Winga wa Yanga, Farid Musa amempigia chapuo mshambuliaji wa Yanga Ditram Nchimbi, kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mchezo kati ya Biashara United dhidi ya Yanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS