Bashiru ataka nidhamu na uwajibikaji kuzingatiwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM), Dk.Bashiru Ally, amewataka viongozi wa chama hicho waliochaguliwa katika ngazi za Udiwani,Ubunge na Wawakilishi kuzingatia nidhamu ya chama na uwajibikaji. Read more about Bashiru ataka nidhamu na uwajibikaji kuzingatiwa