'Mbowe ni mwekezaji' - Mrema
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeilalamikia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam baada ya kumnyima ruhusa Mwenyekiti wa Chama, hicho Freeman Mbowe kwa ajili ya kusafiri kwenda nje ya nchi.