Meneja akanusha taarifa za kifo cha Meja Kunta
Taarifa mpya ambazo zimetoka kwa mtu ambaye alikuwa kwenye safari moja na msanii Meja Kunta, aitwaye Wasowiso amekanusha taarifa zilizokuwa zikieleza kuhusu kifo cha Meja Kunta, ambapo amesema ni mzima na anaendelea vizuri.