Msimamo wa Madee kuhusu goli la Kagere

Madee na Meddie Kagere

Nguli wa Hip Hop nchini Tanzania na shabiki kindakindaki wa klabu ya Yanga, Madee 'Seneda' amesema kuwa hayupo katika upande wa kumlaumu mwamuzi kwenye goli la Kagere alilofunga dhidi ya Namungo FC.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS