Kigoma : Mganga ahukumiwa kifungo cha maisha Mganga wa Kienyeji Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imemuhukumu Mganga wa Kienyeji, Venance Edward kwenda jela kifungo cha maisha baada ya kumkuta na hatia ya kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 8. Read more about Kigoma : Mganga ahukumiwa kifungo cha maisha