Young Dee ajitokeza kuvaa nguo ya kike Picha ya msanii Young Dee akiwa amevaa vazi la kike Msanii wa HipHop Young Dee amezua kihoja mitandaoni baada ya kuonekana amevaa nguo aina ya kimono, vazi ambalo hupendelea kuvaliwa zaidi na wanawake. Read more about Young Dee ajitokeza kuvaa nguo ya kike