Serikali yamvaa mkandarasi juu ya ujenzi barabara

Eneo la Kanolo ambalo daraja limesombwa na maji

Serikali mkoani Morogoro imesikitishwa na mwendo wa kusuasua wa ujenzi wa barabara ya Kidatu-Ifakara baada ya miundombinu iliyopo kushindwa kustahimili maji mengi, mkandarasi akiwa amefikia asilimia 10 pekee huku mradi ukitarajiwa kukabidhiwa Aprili mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS