Hatma ya viongozi DARUSO bado matatani
Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO), Hamis Mussa, amesema kuwa hadi sasa yeye pamoja na wenzake watano hawajajua nini hatma yao, kwani bado hawajaitwa kwenye kikao cha nidhamu kama ambavyo uongozi wa chuo ulieleza.