Alichojibiwa TID baada ya kumuomba msamaha Q Chief
Kushoto pichani ni Q Chief kulia ni T.I.D
Msanii mkongwe wa BongoFleva Q Chief, ameiambia Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa TID amemuomba msamaha wa kumaliza bifu lao lililodumu kwa miaka minne.