Bongozozo apewa ubalozi wa hiari Tanzania Picha ya Bongozozo Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangalla, amemtangaza mwanamitandao na mhamasishaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Bongozozo, kuwa balozi wa hiari. Read more about Bongozozo apewa ubalozi wa hiari Tanzania