Linex ashukuru kuachwa na mpenzi wake Msanii Linex Sunday Mjeda, amemshukuru mpenzi wake wa zamani aliyeamua kumuacha, hadi ikapelekea kuandika wimbo wa Mama Halima, ambao ulifanya vizuri kipindi cha nyuma. Read more about Linex ashukuru kuachwa na mpenzi wake