Fahamu ratiba kamili ya msiba wa mdogo wa Kanumba Picha ya marehemu Seth Bosco Mapema siku ya leo Disemba 7, 2019, zilitoka taarifa za msiba kwa aliyekuwa mdogo wake muigizaji Steven Kanumba aitwaye Seth Bosco, ambaye amefariki kutokana na kusumbuliwa na uti wa mgongo. Read more about Fahamu ratiba kamili ya msiba wa mdogo wa Kanumba