Tumepunguza gharama za Internet na kupiga simu Akihutubia Bunge la 12 jijini Dodoma leo katika hafla ya kulivunja rasmi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali imechukua hatua madhubuti kuimarisha uchumi wa kidigitali. Read more about Tumepunguza gharama za Internet na kupiga simu