Rais Magufuli atumbua wawili Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara Mh. Joseph George Kakunda, na kumteua Mh. Innocent Lugha Bashungwa kushika nafasi hiyo. Read more about Rais Magufuli atumbua wawili