Mchujo wa pili kikosi cha Taifa Stars wafanyika
Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kinategemewa kusafiri leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi ya mwisho kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya AFCON itakayoanza mwishoni mwa mwezi huu.