Akamatwa kwa kuihujumu TANESCO
Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linawashikilia watu wawili ambao wanatuhumiwa kuiba vifaa vya Shirika la Umeme Tanzania TANESCO vilivyokuwa vikitumika kwenye utekelezaji wa mradi umeme kwenye vijiji vya wilaya ya Namtumbo mkoani humo.