Simba yajitoa michuano ya kimataifa Kocha Patrick Aussems na wachezaji wa Simba Timu ya Simba ambayo ndio inaongoza kwa kutwaa Kombe la Kagame mara nyingi zaidi kuliko timu yoyote, imetangaza kujitoa kushiriki michuano hiyo mwaka 2019. Read more about Simba yajitoa michuano ya kimataifa