Bilioni 7 zapunguzwa kwa CAG
Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali CAG, imepunguziwa bajeti yake kwa mwaka ujao wa fedha 2019/2020, ukilinganisha na mwaka fedha 2018/2019 ambapo imepunguzwa kwa shilingi bilioni 7.79 ambapo kwa mwaka huu ilipitishiwa shilingi bilioni 69.