Familia ya Masogange yafunguka kutopewa pesa Familia ya mzazi mwenzake marehemu Agnes Gerald (Masogange), imeweka wazi kuwa mpaka sasa haijapokea pesa yoyote iliyochangwa kutoka kwa wasanii, ambayo waliahidiwa kuwa watapewa. Read more about Familia ya Masogange yafunguka kutopewa pesa