Nape ambana Waziri kwenye hili Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amependekeza kuongezwa kwa wigo wa walipa kodi, ili kuwaondolea mzigo baadhi ya watumishi na wafanyakazi kazi sekta mbalimbali nchini. Read more about Nape ambana Waziri kwenye hili