Halima Mdee awaponza Upinzani bungeni
Spika wa Bunge Job Ndugai amezuia kusomwa kwa hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, kwa Wizara ya Fedha iliyokuwa isomwe na Mbunge wa Momba, David Silinde kwa kile Spika alichokidai kuwa ina maneno yasiyokuwa na maadili, inayodaiwa kuandaliwa na Mbunge, Halima Mdee.