Petii akiri kuoa, afunguka kuhusu Karen Meneja wa wasanii kutoka Roof Top entertainment, Petit Man, amefunguka juu ya tetesi za kuoa kwa siri, na kusema ni kweli sasa hivi yeye ni mume wa mtu. Read more about Petii akiri kuoa, afunguka kuhusu Karen