Simba yaanza usajili rasmi John Bocco akisaini mkataba Klabu ya Simba imeanza rasmi usajili kuelekea msimu mpya wa ligi kuu 2019/20 kwa kutangaza usajili wa nahodha wa klabu hiyo, John Bocco. Read more about Simba yaanza usajili rasmi