Vyama vya upinzani vimeibuka na lingine tena
Jumla ya vyama nane vya upinzani nchini vimeadhimia kutoshiriki uchaguzi wa marudiano endapo Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC) haitofuatilia malalamiko yao waliyowasilisha mahakamani kuhusu wasimamizi wa chaguzi mbalimbali ambao ni wakurugenzi wa halmashauri.