Serikali yawataka wanaopiga mswaki wafanye hili Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Elneza Ayo, amewataka wananchi kuchemsha maji wanayotumia ikiwemo ya kupigia mswaki, ili kuhakikisha wanajitenga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu. Read more about Serikali yawataka wanaopiga mswaki wafanye hili