''Sioni aibu, nilianza kutumia khanga'' Mimi Mars Mimi Mars Msanii wa Bongofleva Mimi Mars amesema anajua changamoto za watoto wa kike wanapokuwa kwenye hedhi kisha kukosa taulo za kike (pads), kwani yeye mwenyewe amewahi kupitia wakati huo. Read more about ''Sioni aibu, nilianza kutumia khanga'' Mimi Mars