Ruby afunguka kuhusu mpenzi wake kupigiwa simu
Mwimbaji mwenye sauti ya kuvutia kwenye Bongofleva, Ruby, amefunguka kuwa sio kwamba anaringa kama watu wanavyosema bali yeye sio mtu wa marafiki kwasababu ameshawahi kushuhudia uongo mkubwa mbele ya mpenzi wake.