Bomu lagundulika kwenye gari, Mara Picha hii haihusiani na tukio. Bomu lililokuwa linasafirishwa kutoka Serengeti kwenda Mkoa wa Mwanza kuuzwa kama vyuma chakavu limegundulika katika gari la mfanyabiashara wa vyuma chakavu. Read more about Bomu lagundulika kwenye gari, Mara