"Kings Music ni yangu" - Abdu Kiba Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdu Kiba, amefunguka juu ya kuwa mmoja wa wamiliki wa lebo ya Kings Music, ambayo yeye mwenyewe pia inamsimamia. Read more about "Kings Music ni yangu" - Abdu Kiba