Ilala yajipanga kugawa bure taulo za kike
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, amesema Manispaa hiyo imeona umuhimu wa kuliendeleza zoezi la kugawa bure taulo za watoto, ambalo limeanzishwa na Kampuni ya East Africa Televission kupitia kampeni yake ya 'Namthamini'.