Jay Moe aeleza kinachomsumbua kwenye muziki Jay Moe Msanii wa Bongofleva Jay Moe, ameeleza kuwa huwa hasumbuliwi na mambo ya 'views' za ngoma zake kwenye mtandao wa Youtube ila anachozingatia yeye ni ujumbe utagusa wangapi. Read more about Jay Moe aeleza kinachomsumbua kwenye muziki