Utaratibu wa kuwaondoa Wenyeviti wa mitaa
Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wametakiwa kufuata taratibu za kuwaondoa Wenyeviti wa Serikali za Mitaa, kwa kufuata taratibu ambazo zinazowataka viongozi hao kuitisha mikutano ya hadhara ili wananchi wapige kura.