Vitambulisho vya Magufuli vyamweka ndani Mbunge
Mbunge wa Kilwa Kusini Suleiman Bungara maarufu kama 'Bwege', ameeleza kuwa alishikiliwa na polisi kwa muda kufuatia kutoa kauli ambayo imeonekana kupishana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, kuhusiana na suala la vitambulisho vya mjasiriamali mdogo.