Kagere abakiza mabao 3 kuvunja rekodi ya 1994 Mshambuliaji, Meddie Kagere Mshambuliaji wa klabu ya Simba, Meddie Kagere, anaongoza katika orodha ya wafungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu akiwa na mabao 22. Read more about Kagere abakiza mabao 3 kuvunja rekodi ya 1994