Zaidi ya 1000 wajiunga na Shusha Pandisha Tanga
Kufuatia mapema mwaka huu aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif kujiunga na ATC Wazalendo, chama hicho cha siasa kimeendelea kujikusanyia wanachama wapya wakiunga kauli ya Shusha Tanga Pandisha Tanga.