PM afichua siri 8 zinazosisitizwa na Serikali
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameutaka uongozi wa Benki ya CRDB uzidi kuzingatia misingi ya utawala bora na kuongeza juhudi katika utoaji wa huduma, ili benki hiyo iendelee kuwa mfano wa mafanikio kwa taasisi zinazomilikiwa na kuendeshwa na wazalendo.