Manara awataka wachezaji kuchukua tahadhari Wachezaji wa Simba Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amewakumbusha wachezaji wa klabu hiyo siri ya mafanikio kuelekea katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar hii leo. Read more about Manara awataka wachezaji kuchukua tahadhari