Dogo Janja afichua uhusiano wake na Nandy Dogo Janja akiwa na Nandy. Msanii wa Bongo Fleva, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’ amefichua siri yake na msanii mwenzake, Faustina Charles ‘Nandy’ kwa kusema kuwa akiwa naye popote pale familia yake huwa na amani. Read more about Dogo Janja afichua uhusiano wake na Nandy