Zahera anavyowapoteza mashabiki wa Yanga Kocha Mwinyi Zahera (katikati) akisalimiana na Mwenyekiti mpya wa Yanga, Dk Mbette Msolla. Licha ya ushindi mwembamba wa jana dhidi ya Ruvu Shooting, kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ameedelea kubebesha mzigo wa lawama kwa waamuzi na Bodi ya Ligi. Read more about Zahera anavyowapoteza mashabiki wa Yanga