Utata wa Kakolanya wamalizwa Beno Kakolanya Aliyewahi kuwa mlinda mlango namba moja wa klabu ya Yanga msimu huu, Beno Kakolanya, hatimaye amekuwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kuvunjika. Read more about Utata wa Kakolanya wamalizwa