Diss ya Video ya simu yamuamsha TID Msanii TID Msanii wa Bongofleva TID amekataa kumzungumzia msanii mwenzake Q Chilla, ambaye alimwambia kuwa video yake kafanya na simu ya mkononi. Read more about Diss ya Video ya simu yamuamsha TID