RC Kheri: Wananchi Iringa Endeleeni Kujitokeza

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Kheri James, leo Oktoba 29, 2025, ameongoza wananchi wa mkoa huo katika zoezi la upigaji kura na kutoa wito kwa wakazi wote kuendelea kujitokeza kwa wingi kutumia haki yao ya kikatiba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS