Aliyesema Cuba hamna Ombaomba ajiuzulu

Waziri wa Kazi wa Cuba Marta Elena Feitó Cabrera amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa maoni ya kukanusha kuwepo kwa ombaomba katika kisiwa hicho kinachoongozwa na Wakomunisti.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS