Upasuaji kumuweka Bellingham nje miezi minne Jude Bellingham Nyota wa Real Madrid Jude Bellingham atakaa nje kwa kipindi cha miezi 3 hadi minne baada ya kukubali kwenda kufanyiwa upasuaji wa bega linalomsumbua kwa muda mrefu. Read more about Upasuaji kumuweka Bellingham nje miezi minne