Wakati Simba wakiwa DR Congo, TFF yahukumu
Shirikisho la soka nchini (TFF), kupitia kwa Bodi ya Ligi imeshusha rungu kwa waamuzi waliochezesha mchezo wa ligi kuu namba 124 kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba SC uliopigwa kwenye uwanja wa Mkwakwani Tanga.