Kaseja kuchukua nafasi ya Manula ?
Mlinda mlango mkongwe nchini Juma Kaseja, amekuwa kwenye kiwango bora siku za hivi karibuni, akiiongoza KMC kukaa katika nafasi ya 3 kwenye ligi kuu soka Tanzania bara, baada ya kutoruhusu kufungwa bao katika mechi 3 mfululizo.